Don't Copy any content! Copyright [DMCA] Legal action will be taken. Telegram: Join Group | WhatsApp: Chat Now Buy Now!

KITU GANI UNAPASWA KUFANYA ENDAPO UTAIBIWA SIMU YAKO?

 

UKIIBIWA SIMU CHA KWANZA UNAWEZA KUFANYA ICHI KABLA UJAENDA POLISI


 ➢MUHIMU

Hakikisha Simu yako imeunganishwa na gmail na ina Play Store      

➢Mahitaji

 Download Android Device Manager apk 

 ➢ Kazi zake 

-Itakuonesha sehemu ilipo simu yako

-Itafuta taarifa muhimu kwenye simu yako

-Italock au kuunlock pattern au password huko iliko

-Itaweza kupiga alarm kwa dakika 5 na kuendelea

-Itaweza kutrack simu popote pale 

 ➢ Hatua za kufuata ili uweze kujua sehemu ilipo simu yako 


1. Tafuta simu ya Android 

2. Download Android Device Manager apk na install kwenye simu yako

3. Fungua app ya Android Device Manager 

4. Jaza Email na password ambayo umetumia kwenye Google Play Store

5. Itafute simu yako na utaoneshwa mahali ilipo simu yako

6. Utaona Option tatu baada ya kulog in kwenye Android Device Manager 

  -Ring  (itapiga alarm sehemu ilipo)

  -Lock (Utai-lock simu yako huko iliko)

  -Erase (Itafuta taarifa zako zote kwenye hiyo simu


➢ Tumia hizi app kwenye simu yako ili pindi ikibiwa itakuwa rahisi wewe kuipata simu yako 

Njia hii itakusaidia kuona picha za mwizi wako. 

Hizi apps zitampiga picha mtu yoyote akikosea Password, Pattern au Pin kwenye simu yako.


1: GESTURE LOCK SCREEN 

Download  Gesture lock screen apk na install kwenye simu yako. 

Register app yako kwa email. 

Mtu yoyote akikosea pattern au password, itampiga picha na kukutumia kwenye email yako. 

Ukitaka kuziona picha, unaingia kwenye email yako utazikuta 


2: CM SECURITY APP 

Download CM Security App apk na install kwenye simu yako. 

Kisha ifungue na register kwa email. 

Ina sehemu ya ku-protect SMS, WhatsApp, Messenger na apps zingine kwa Password ili kumzuia mtu asitumie simu yako.

Mtu yoyoe akikosea Pattern, Pin au Password itampiga picha na kuituma kwenye email 


3. HIDDENEYE APK 


1.Download Hidden eye apk na install na kisha register kwa email yako. Ina alama ya jicho

2.Fungua app yako utaona neno juu limeandikwa Security status. 

Upande wa kulia kwenye hilo neno utaona neno off kwenye kibox. Click hapo ili kuweka On. 

Mtu yoyote akikosea password, Pattern au Pin itampiga picha na kuituma kwenye email yako


 #Smart one 🎙️🎙️

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!

⚠️ Adblock Detected!

We see that you are using an adblocking plugin. The revenue generated from ads keeps this website running. Whitelist our website to support EliTechWiz 👾 and keep the chaos alive.

Got It! I’ll Whitelist

Powered with chaos and brilliance by EliTechWiz 👾

Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.
EliTechWiz Official Chat Welcome to WhatsApp chat
How can we help you today?
Type here...