KITU GANI UNAPASWA KUFANYA ENDAPO UTAIBIWA SIMU YAKO?
UKIIBIWA SIMU CHA KWANZA UNAWEZA KUFANYA ICHI KABLA UJAENDA POLISI ➢MUHIMU Hakikisha Simu yako imeunganishwa na gmail na ina Play Store ➢Mahitaji Download Android Device Manager apk ➢ Kazi zake -Itakuonesha sehemu ilipo simu yako -Itafuta taarifa muhimu kwenye simu yako -Italock au kuunlock pattern au password huko iliko -Itaweza kupiga alarm kwa dakika 5 na kuendelea -Itaweza kutrack simu popote pale ➢ Hatua za kufuata ili uweze kujua sehemu ilipo simu yako 1. Tafuta simu ya Android 2. Download Android Device Manager apk na install kwenye simu yako 3. Fungua app ya Android Device Manager 4. Jaza Email na password ambayo umetumia kwenye Google Play Store 5. Itafute simu yako na utaoneshwa mahali ilipo simu yako 6. Utaona Option tatu baada ya kulog in kwenye Android Device Manager -Ring (itapiga alarm sehemu ilipo) -Lock (Utai-lock simu yako huko iliko) -Erase (It...
